United TZA
United TZA
June 3, 2025 at 09:49 AM
🚨❌ MPYA: Jadon Sancho atarudi Manchester United mara tu mkataba wake na Chelsea utakapomalizika tarehe 30 Juni. Hakukuwa na makubaliano juu ya masharti mapya ya binafsi, na Chelsea italipa faini ya £5m kwa United kutokana na hilo. Chanzo: @davidornstein Kwa hiyo tunafanyaje sasa?? Chelsea tutawaroga. #mufc
Image from United TZA: 🚨❌  MPYA: Jadon Sancho atarudi Manchester United mara tu mkataba wake...

Comments