MEFTAHUL 'ULUUM 📚🔑📚
MEFTAHUL 'ULUUM 📚🔑📚
May 28, 2025 at 05:56 PM
السلام عليكم ورحمة الله وبركاته *MUHIMU:* Tutakuwa na mapumziko kidogo- kwa ajili ya kupisha kipindi hiki cha masiku kumi ya Dhulhijja. Hivyo masomo *ONLINE* tutafungua Siku ya JUMAMOSI tarehe 14 /06 2025 in shaa Allaah *ZINGATIA:* _Usiyaache masiku kumi bora haya yakupite bure, fanya juhudi katika kutafuta radhi za Allaah_ Baaraka llaahu fiikum

Comments