MEFTAHUL 'ULUUM 📚🔑📚
MEFTAHUL 'ULUUM 📚🔑📚
June 13, 2025 at 06:00 AM
السلام عليكم ورحمة الله وبركاته Natumai ni wazima wa afya, na sikukuu imepita vizuri. Allaah apokee matendo yetu na yenu. Baada ya mapumziko hayo mafupi in shaa Allaah tutarudi tena katika masomo yetu ya kwenye magroup na yale ya online. Rasmi wale wanafunzi wa online watarudi kuendeleza na masomo yako siku ya kesho in shaa Allaah muda na ratiba ile ile iliyopo kwenye magroup yao. Baaraka llaahu fiikum

Comments