MEFTAHUL 'ULUUM 📚🔑📚
MEFTAHUL 'ULUUM 📚🔑📚
June 13, 2025 at 07:13 AM
Amesema Imamu Ibnul Qayyim _rahimahu llaahu:_ *"Siku ya Ijumaa ni siku ya ibada, siku hiyo katika masiku ni kama mwezi wa Ramadhan katika miezi (kwa ubora na utukufu wake) na saa ya ijaba ndani yake (siku ya ijumaa) ni kama vile usiku wa Laylatul qadr ndani ya mwezi wa Ramadhan"* ____________ 📚 Zaadul Mahaad -[ 1/ 386]
Image from MEFTAHUL 'ULUUM 📚🔑📚: Amesema Imamu Ibnul Qayyim _rahimahu llaahu:_  *"Siku ya Ijumaa ni sik...

Comments