MEFTAHUL 'ULUUM 📚🔑📚
MEFTAHUL 'ULUUM 📚🔑📚
June 13, 2025 at 07:31 AM
Aliambiwa Hassan Bni 'Alliyy _Radhwiya llaahu 'anhumaa:_ *Kwa hakika mimi ninaye binti, basi ni nani unayemuona nimuozeshe? Akasema:* _*"Muozeshe kwa yule anayemcha Allaah; kwani hakika akimpenda basi atamkirimu na akimchukia hatomdhulumu"*_ _________ 📚 Sharhu al Sunnah lil Baghwy - [ 9 /11]
👍 1

Comments