JamiiForums

JamiiForums

716.2K subscribers

Verified Channel
JamiiForums
JamiiForums
June 13, 2025 at 04:50 AM
Kukosea siyo tu jambo la kawaida, bali pia ni muhimu sana kwa ukuaji na kujifunza. Tunajifunza kutokana na makosa yetu, tunaboresha ujuzi wetu na tunakuwa watu wenye Hekima zaidi. Makosa yanatuonesha pale tulipofanya vibaya na kutupa fursa ya kurekebisha na kusonga mbele.
Image from JamiiForums: Kukosea siyo tu jambo la kawaida, bali pia ni muhimu sana kwa ukuaji n...
👍 ❤️ 🙏 🤝 👊 👏 📌 😮 52

Comments