JamiiForums

JamiiForums

716.2K subscribers

Verified Channel
JamiiForums
JamiiForums
June 13, 2025 at 06:29 AM
DIPLOMASIA: Israel imefanya mashambulizi Nchini Iran katika Mji wa Tehran ikiwa ni sehemu ya Oparesheni kwa kile ambacho Waziri Mkuu wa Israel, Benjamin Netanyahu amesema walilenga kudhoofisha Miundombinu ya Nyuklia ya Iran na Viwanda vya Makombora ya masafa marefu Pamoja na hivyo, Israel imetangaza hali ya hatari, ikisema inatarajia mashambulizi ya kulipiza kisasi kutoka kwa Iran, wakati ambapo Iran imesema mashambulizi hayo yameathiri Makazi ya raia na kuua Watu kadhaa wakiwemo Watoto Wakati huohuo, Rais wa Marekani, Donald Trump amekiambia Kituo cha Fox News kuwa alikuwa na taarifa kuhusu mashambulizi hayo kabla lakini Nchi yake haikuhusika kwa namna yoyote Soma https://jamii.app/IsraelAgainstIran
👍 😡 😂 😅 😢 😮 🖕 😳 16

Comments