JamiiForums

JamiiForums

712.6K subscribers

Verified Channel
JamiiForums
JamiiForums
June 13, 2025 at 02:40 PM
KENYA: Mtuhumiwa wa pili ambaye ni fundi wa vifaa vya umeme amekamatwa kutokana na kosa la kuchezea Mifumo ya CCTV katika Ofisi ya Mkuu wa Kituo Kikuu cha Polisi alipokuwa akishikiliwa Mwanamtandao, Albert Ojwang' (31) Fundi huyo anatuhumiwa kuzima Mfumo wa Ulinzi wa Video kwa madai ya kulipwa Tsh. 60,000 hatua iliyofanikisha kufichwa kwa ushahidi kuhusu Ojwang' kuteswa na kuuawa akiwa ndani ya Kituo hicho cha Polisi Fundi huyo ambaye jina lake bado halijawekwa hadharani inaelezwa kuwa amekamatwa leo Juni 13, 2025 baada ya Askari Polisi James Mukhwana kukamatwa Soma https://jamii.app/MtaalamuCCTVAkamatwa
Image from JamiiForums: KENYA: Mtuhumiwa wa pili ambaye ni fundi wa vifaa vya umeme amekamatwa...
👍 😂 😮 ❤️ 😢 🚮 🫡 11

Comments