JamiiForums

JamiiForums

716.2K subscribers

Verified Channel
JamiiForums
JamiiForums
June 13, 2025 at 03:42 PM
Kila Juni 13, ni Maadhimisho ya Siku ya Kimataifa ya Uelewa kuhusu Ualbino. Mwaka huu 2025 Kaulimbiu inaangazia umuhimu wa kuzuia Saratani ya Ngozi kwa Watu wenye Ulemavu wa Ngozi (Ualbino) kupitia uelimishaji, uchunguzi wa afya na upatikanaji wa Mafuta ya kuzuia Mionzi ya Jua (Sunscreen) Ukosefu wa upatikanaji wa mafuta maalum ya ngozi, mavazi ya kujikinga na jua, pamoja na huduma za uchunguzi na matibabu ya Saratani ya Ngozi, unasababisha vifo vinavyoweza kuzuilika kabisa Soma https://jamii.app/AlbinismAwareness
Image from JamiiForums: Kila Juni 13, ni Maadhimisho ya Siku ya Kimataifa ya Uelewa kuhusu Ual...
❤️ 🙏 👍 🎙 19

Comments