
JamiiForums
June 13, 2025 at 09:00 PM
*BAADA YA RAIS SAMIA KUKUTANA NA YANGA, SIMBA; VIONGOZI WAJIUZULU*
Baada ya mgogoro wa muda mrefu kuhusu Yanga na Simba kucheza mchezo wa Ligi Kuu, Mwenyekiti wa Bodi ya Ligi Kuu Tanzania (TPLB), Steven Mnguto amewasilisha barua ya kujiuzulu huku Rais wa TFF, Wallace Karia akimsimamisha Kazi Afisa Mtendaji Mkuu wa #tplb, Almasi Kasongo
Haya yametokea ikiwa ni saa chache baada ya Rais Samia kufanya mazungumzo na Viongozi wa Klabu za Simba na Yanga na kisha taarifa kutoka kuwa mchezo huo uliokuwa uchezwe Juni 15, 2025 umeahirishwa hadi Juni 25, 2025
Soma https://jamii.app/TPLB_Wajiuzulu

😂
🖕
🇯🇲
🐳
😢
🤨
11