
*🌹🌹Mafunzo sahihi ya ndoa*
June 13, 2025 at 05:19 AM
*https://whatsapp.com/channel/0029VahMBH0Gk1G2rC04T11R*
*🌹🌹NI WAJIBU KUOGA KWA MAMBO HAYA MAWILI* Darsa namba (1)
*وأما الاغتسال فإنه يجب في حالتين :*
*📝wanasema ulamaa wa lajna: Ima kuoga hakika yake ni wajibu kwa moja katika hali hizi mbili:*
*الأولى : إذا حصل الجماع بأن غيب الرجل كل الحشفة ( أي رأس الذكر ) في فرج المرأة ولو لم يُنزل .*
*👉Jambo la kwanza: pindi ikitokea jimai kwa kuzamisha mume dhakari yake (kichwa cha dhakari yake) katika tupu ya mkewe hatakama manii hayaja teremka.*
*فيجب الغسل على الرجل والمرأة لقول النبي صلى الله عليه وسلم "*
*Ni wajibu kuoga mume na mke kwa kauli yake mtume (swala na salam ziwe juu yake)*
*إِذَا جَلَسَ بَيْنَ شُعَبِهَا الْأَرْبَعِ وَمَسَّ الْخِتَانُ الْخِتَانَ فَقَدْ وَجَبَ الْغُسْلُ "*
*Pindi mume akikaa baina ya matawi yake (mkewe) manne (akikaa juu yake kwa lengo la kufanya jimai) na zikagusana tupu mbili (kwa kuingia tupu ya mume kwa mkewe) basi hakika imekuwa wajibu (kwao)kuoga*
*رواه البخاري ( 291 ) ومسلم ( 349 ) . وفي رواية لمسلم ( وإن لم ينزل )*
*Kaipokea imam bukhary (291) na muslim (349). na katika riwaya ya imam musllim, hatakama manii hayakutoka basi wajibu kuoga."*
*Fatilia darsa inayo fata........📝*
*❪📚❫ المصْــــدَرُ: ❪ فتاوى اللجنة الدائمة ،و الشيخ ابن عثيمين في كتاب فتاوى العلماء في عشرة النساء ( 36 ، 42) و فتاوى منار الإسلام (1/110 ❫*
══════ ❁✿❁ ══════
*📓 ✍️ Abou hudaa Al-jaziiriyyi حفظــــــــــه اللــــــــــه تعالــــــــــى ورعــــــــــاه📖*
*🌹Mafunzo sahihi ya ndoa🌹*
*📡Subscribe my WhatsApp channel*
*https://whatsapp.com/channel/0029VahMBH0Gk1G2rC04T11R*
*🔽Jiunge na group la mafunzo sahihi ya ndoa*
*https://chat.whatsapp.com/FW4aG9M68ruLjzC53NoNab*
*🔽Hii ni channel maalum ya telegram kwajili ya mafunzo sahihi ya ndoa tu gusa link hii hapa chini ili kujiunga*
*https://t.me/Mafunzo_sahihi_ya_ndoa*
*VUNA THAWABU KWA KUSAMBAZA KWA WENGINE👌*
*💉Kuwa muadilifu usibadili chochote*
*🌹Mafunzo sahihi ya ndoa🌹*
❤️
😂
🙏
5