SamWaMiiracareTz
SamWaMiiracareTz
June 5, 2025 at 06:01 PM
🌙✨ Eid El-Adha Mubarak ✨🌙 Kwa moyo wa upendo na shukrani, nakutakia wewe na familia yako Eid El-Adha yenye baraka tele, furaha isiyo na kifani, afya njema na amani ya kweli. Allah akubali ibada zenu, adumishe upendo na mshikamano katika familia yenu, na awajalie maisha yenye baraka na mafanikio. Taqabbal Allahu minna wa minkum. Eid njema kwenu nyote! 🐑🕌❤️

Comments