
SamWaMiiracareTz
June 6, 2025 at 11:32 AM
Kuna kipindi kwenye maisha unatamani ujitenge na watu. Uende mbali ukawe peke yako.
Unahisi kuto kupendwa tena, hausikilizwi, hautopona changamoto yako ya kiafya, upweke wa hali ya juu.
Unakosa msaada japo wa maneno ya faraja na ya kukutia moyo 😔
😭 Ndio, napitia sahizi
🥺 Nilipitia sahizi angalau
💔 Hata sijui nataka nini
💘 Sijakata tamaa naamini nitashinda
*Jibu kwa emoji inayobeba jibu lako halisi.*
😭
1