
SamWaMiiracareTz
June 6, 2025 at 10:51 PM
Hizo zenye muonekano wa viduara na patches, ambayo hata mike tyson aliibandika kwenye sehemu ya kati ya kifua kwenye hiyo video hapo juu.
Hii patch ndiyo inayo reflect mionzi yako ya ndani ya sili ya infrared na ultraviolet na kupelekea cell proriferation kisha mwili kuwa na uwezo wa kujiponya wenyewe.
Hii ni best solution kwa wale ambao hawaamini kwenye Tiba za asili za seli shina zilizopo kwenye mfumo wa power
Hii ni salama zaidi kwa sababu hakuna unachoingiza mwilini sio vidonge wala sindano.
