
THE BEAR - LEARN AND CONQUER (BLC)
May 20, 2025 at 09:31 AM
Ukianza kuongelea kuhusu kilimo unaweza ukaogopa hata kuanza
Most of you mnadhani ili uanze kufanya biashara au kuanzisha kitu chochote kile basi unahitaj mtaji mkubwa sana
Well you are WRONG!
Sheria ya kwanza ni kuanza na chochote ulichonacho
Either ni skill,watu au kiasi chochote kile ulichonacho
Unaweza hisi hii ni MOTIVESHENI lakin HAPANA
WHY?
Moja ya sehem nzuri unaweza ukawekeza ni kwenye ARDHI/KILIMO
Nikiwa chuo niliwaza kuanza kilimo cha mpunga
Ila mfukoni sikuwa na hata mia mbovu
Utaniuliza HOW DID YOU DO IT BEAR?
I had an IDEA na what i was missing ni hela tu and other minor resources
Nilitafuta watu ambitious katika circle yangu
I preached the idea na finally nikapata a partner
Baada ya research za kutosha i was confident enough kuanza
Nilitafuta eneo lenye kukodisha shamba kwa bei chee
Nilianza na heka moja tu (Hicho ndicho i was able to afford)
Kwa heka 1 tuliestamate kupata gunia 10-15 za mpunga kutokana na rutuba ya eneo (unaeza pata more)
Plan ilikiua ni kuvuna,kusubiria bei kupanda na kuuza
We used the budget kwa ubahiri wa kutosha kufikia goal letu
Tuliuza kila gunia kwa 120k
Anyone can do wat i did, maybe even better ni swala la utayari
NOTE:
KILIMO NI KAMA KAMARI, KUNA KUPATA NA KUKOSA