
THE BEAR - LEARN AND CONQUER (BLC)
545 subscribers
About THE BEAR - LEARN AND CONQUER (BLC)
Daily posts to help you level up in your own life in every aspect.
Similar Channels
Swipe to see more
Posts

NOTE: ABOVE SCREENSHOT DOES NOT BELONG TO ME kama una mda, dedication na utayari basi learn how to trade, learn Forex


*Female Call centre representative urgently needed, Posta* 0747222089

Ukianza kuongelea kuhusu kilimo unaweza ukaogopa hata kuanza Most of you mnadhani ili uanze kufanya biashara au kuanzisha kitu chochote kile basi unahitaj mtaji mkubwa sana Well you are WRONG! Sheria ya kwanza ni kuanza na chochote ulichonacho Either ni skill,watu au kiasi chochote kile ulichonacho Unaweza hisi hii ni MOTIVESHENI lakin HAPANA WHY? Moja ya sehem nzuri unaweza ukawekeza ni kwenye ARDHI/KILIMO Nikiwa chuo niliwaza kuanza kilimo cha mpunga Ila mfukoni sikuwa na hata mia mbovu Utaniuliza HOW DID YOU DO IT BEAR? I had an IDEA na what i was missing ni hela tu and other minor resources Nilitafuta watu ambitious katika circle yangu I preached the idea na finally nikapata a partner Baada ya research za kutosha i was confident enough kuanza Nilitafuta eneo lenye kukodisha shamba kwa bei chee Nilianza na heka moja tu (Hicho ndicho i was able to afford) Kwa heka 1 tuliestamate kupata gunia 10-15 za mpunga kutokana na rutuba ya eneo (unaeza pata more) Plan ilikiua ni kuvuna,kusubiria bei kupanda na kuuza We used the budget kwa ubahiri wa kutosha kufikia goal letu Tuliuza kila gunia kwa 120k Anyone can do wat i did, maybe even better ni swala la utayari NOTE: KILIMO NI KAMA KAMARI, KUNA KUPATA NA KUKOSA

*OFA OFA OFA OFA Unataka kujifunza kuhusu FOREX,CRYPTO,KUAGIZA BIDHAA KUPITIA ADIDAS KWA 2500 TU๐ฅ๐ฅ?* BASI TUMEKUANDALIA E-BOOKS ZENYE ELIMU ZOTE HAPO JUU HUTOHITAJI MENTORSHIP YA AINA YOYOTE BAADA YA KUSOMA Comment "E-BOOK" 0747222089

Hi Team I am looking younger people ( graduate) for the job opportunities. 1. Customer care ( call centres) - 5 positions 2. Customer care aupervisor - 1 position 3. Project manager - 1 Position 4. Client service Executive -1 position. All genders can Apply [email protected] deadline on 22 May 2025

Natoa a free E-BOOK From @gabyconcious Ushindwe wewe Dm 0747222089


Tuma jina nikusave๐๐ 0747222089

Tajiri halisi hajigambi kwa mshahara, anajigamba kwa mtiririko wa pesa kutoka kwenye uwekezaji. Kipato chako ni cha kujenga utajiri, si cha kuwapendeza wasiokujali. Formula sahihi ni hii: Pata โ Wekeza โ Tumia faida. Usiruke hatua ya uwekezaji!
