
THE BEAR - LEARN AND CONQUER (BLC)
May 22, 2025 at 02:15 PM
Baadhi ya huduma unaweza kujifunza kutoa online na kupata hela.
*FIND A PROBLEM THEN FIND A WAY YA KUTATUA KIRAHISI*
*HIZI ZOTE NI WAYS RAHISI ZA KUJIFUNZA NA SIMU YAKO NA KUANZA KUTOA HUDUMA*
✅ Cheti cha Kuzaliwa (Online)
✅ NIDA Registration
✅ Passport ya Kusafiria
✅ Affidavit / Deed Poll kwa changamoto za majina
✅ Muhuri wa Mwanasheria
✅ CV & Resume za kisasa
✅ TIN Certificate
✅ Laini za Uwakala & Lipa Namba
✅ Scholarship Opportunities
✅ Branding, Sales & Marketing kwa Biashara, Shule, Taasisi
✅ Autobiography
✅ TAESA & Job Portal Registration
✅ Ajira Portal & Interview Questions
✅ Kitabu cha Ujasiriamali chenye bidhaa 100+ (mf. Ice Cream, Mikate n.k.)
✅ Vifurushi vya Bei Nafuu kwa Application mbalimbali
✅ Loss Report (Online)
✅ Ushauri wa Kitaalamu na zaidi!