
THE BEAR - LEARN AND CONQUER (BLC)
May 31, 2025 at 06:42 AM
2. Fursa za Ubunifu na Ujasiriamali
🎤 a) Events & Entertainment
Dar ni mji wa burudani. Ukiweza kuwa event organizer, DJ, MC, au mpiga picha (photographer), unaweza kupata hela nyingi.
Harusi, send off, birthdays, matamasha – kila wiki kuna shughuli.
🎨 b) Ubunifu wa mavazi (Fashion design)
Kama una kipaji cha kushona au kubuni mitindo ya nguo, kuna soko kubwa la mavazi ya kipekee (custom outfits) – watu wanahitaji nguo za tofauti kwenye harusi, vikao, birthdays.