
THE BEAR - LEARN AND CONQUER (BLC)
May 31, 2025 at 06:42 AM
3. Biashara Ndogo Ndogo zenye Faida Kubwa
🛵 a) Boda boda / Delivery services
Ukinunua pikipiki au kuingia ubia na mwenye pikipiki, unaweza kuiendesha ama kuiweka "rental".
Delivery ya chakula (Uber Eats, Piki Tanzania, Tingg, nk) inalipa vizuri kwa sasa.
🍛 b) Biashara ya chakula (Fast food au catering)
Watu wa Dar wanapenda kula “fast food” – chips, mishkaki, burger, wali na samaki.
Unaweza kuanzisha kibanda cha kisasa au hata ku-deliver kutoka nyumbani kupitia Apps.
👗 c) Mitumba ya kisasa na fashion
Nunua mitumba grade 1 (kama jeans, tops, nk) na uiuze mitandaoni.
Fashion ni kubwa sana Dar – ukijua marketing utauza sana.