THE BEAR - LEARN AND CONQUER  (BLC)
THE BEAR - LEARN AND CONQUER (BLC)
June 1, 2025 at 06:56 PM
4. Aliko Dangote Anasema njia rahisi ya kujihakikishia kuwa unatengeza pesa kwa kiwango cha juu ni kufanya kitu ambacho unakipenda sana kwenye maisha yako. Hakikisha kwenye maisha yako unatafuta kitu ambacho unakipenda na hicho unakigeuza kuwa shughuli yako yakukuingizia kipato (Turn your Passion into your Business). Kwa mujibu wa sheria hii, ni rahisi zaidi kubadilisha kile unachokipenda kuwa ndio kitu cha kukuingizia pesa na kwa sababu ya nguvu ya kukithamini na kukipenda basi itakurahisishia sana kutengeneza pesa, hata utakapokutana na magumu ni rahisi kwako kuwa na uvumilivu. Cha muhimu zaidi ni kuwa unapofanya kitu unachokipenda unakuwa na uwezo na ubunifu wa hali ya juu kwenye kukitekeleza.

Comments