tbc_online

tbc_online

594.1K subscribers

Verified Channel
tbc_online
tbc_online
June 9, 2025 at 10:07 AM
*Benki Kuu ya Tanzania (BoT) imetoa ufafanuzi kuhusu kanuni za matumizi ya fedha za kigeni za mwaka 2025, ikieleza kuwa malipo ya bidhaa na huduma kati ya wakazi na wageni wakiwemo watalii, yanaweza kufanyika kwa kutumia fedha za kigeni.* 👇🏾👇🏾👇🏾👇🏾 https://www.instagram.com/p/DKrRSBRPglG/?igsh=MW1vdHA1YmkyeGFmaA==
❤️ 1

Comments