
tbc_online
June 9, 2025 at 04:00 PM
*Meneja wa Habari wa Mawasiliano wa Yanga SC, Ally Kamwe, amesema kuwa kama matakwa yao matatu hayatafanyiwa kazi kwa haraka, klabu hiyo haitashiriki mchezo namba 184, mechi zote mbili zilizobaki za Ligi Kuu, wala Ligi Kuu ya msimu ujao.*
*Amesema pia hawatakubali kukatwa nusu pointi yao hasa kwa kuzingatia kwamba wanaongoza ligi kutokana na pointi walizopata kwa jasho jingi*
https://www.instagram.com/reel/DKr2Pwsi1uo/?igsh=bmZtdmg1dHNvcWV1
👍
💚
😂
❤
❤️
🇹🇿
🐸
👎
🖕
🗑️
17