
tbc_online
June 9, 2025 at 05:42 PM
*Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Balozi Mahmoud Thabit Kombo, amewasili Beijing, China Juni 9, 2025 kwa ziara ya kikazi ambako anaongoza ujumbe wa Tanzania katika Mkutano wa Mawaziri wa kufuatilia utekelezaji wa maazimio ya Jukwaa la Ushirikiano kati ya China na Afrika (FOCAC Coordinators Meeting). Mkutano huo unatarajiwa kufanyika kuanzia Juni 11 hadi 12, 2025.*
https://www.instagram.com/p/DKsFXMevX1l/?igsh=cThxamJlZHluMHo0