
tbc_online
June 10, 2025 at 05:26 AM
*Wakati mkutano wa 19 wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ukiendelea Jijini Dodoma, pamoja na mambo mengine leo Juni 10, 2025 wabunge watauliza maswali kwa Serikali na kupatiwa majawabu.*
> *Miongoni mwa maswali hayo Serikali itatakiwa kujibu ina mpango gani wa kuyatambua maeneo yote yanayoathiriwa na maafa na kuweka mkakati wa ziada.*
> *Wakati huo huo, Serikali itatakiwa kujibu imeweka utaratibu gani wa kuwatambua wakandarasi wazawa wanaofanya kazi nzuri ili kuwapa motisha.*
*Usikose kufuatilia mbashara kupitia TBC1, TBC Taifa na mitandao ya kijamii kwa anwani ya TBConline kuanzia saa 3:00 asubuhi.*
📸✍🏾 @clementsilla
👇🏽👇🏽👇🏽
https://www.instagram.com/p/DKtSgJktZuy/?utm_source=ig_web_copy_link&igsh=MzRlODBiNWFlZA==
🙏
1