tbc_online

tbc_online

594.1K subscribers

Verified Channel
tbc_online
tbc_online
June 10, 2025 at 03:02 PM
*Makamu Mwenyekiti wa CCM Bara, Stephen Wasira, amewaonya wanachama wa chama hicho na Watanzania wasidanganywe na kauli mbiu za CHADEMA kama No Reforms, No Elections au Movement for Change (M4C), na No Hate No Fear. Wasira amesema CHADEMA hutumia kauli hizi kwa ajili ya kujinufaisha kisiasa kwa maneno tu, bila vitendo vya kuunga mkono kauli zao* 👇🏾👇🏾👇🏾 https://www.instagram.com/reel/DKuUkRMsaIB/?igsh=a2lyOHNidGxicmNx
👍 💯 🚮 3

Comments