tbc_online

tbc_online

594.1K subscribers

Verified Channel
tbc_online
tbc_online
June 10, 2025 at 05:48 PM
*Mkuu wa Wilaya ya Songea, Wilman Kapenjama Ndile, amewataka wananchi wa Songea kuachana kabisa na matumizi ya nishati chafu na kuhamia kwenye nishati safi ili kulinda afya zao, kuhifadhi mazingira na kuwa sehemu ya utekelezaji wa mkakati wa kitaifa wa nishati safi ya kupikia unaolenga kuwafikia asilimia 80 ya Watanzania ifikapo mwaka 2034* 👇🏾👇🏾👇🏾 https://www.instagram.com/p/DKupsn0hml3/?igsh=amU1amw3YXRqeGFn

Comments