
tbc_online
June 10, 2025 at 06:39 PM
📍*_Dodoma_*
*Madereva wa pikipiki na bajaji mkoani Dodoma, wanaojitambulisha sasa kama “Maafisa Usafirishaji,” wamemshukuru Rais Samia Suluhu Hassan kwa kuwathamini na kuwawezesha kupanda hadhi kijamii na kiutendaji.*
> *_Wakizungumza leo, Juni 10, 2025, katika hafla ya uzinduzi wa SACCOS ya Umoja wa Madereva wa Bodaboda na Bajaji katika viwanja vya stendi ya Chamwino-Makole jijini Dodoma, madereva hao wamesema kuwa sasa wana jina rasmi, ofisi ya kudumu, na chama cha akiba na mikopo (SACCOS) kilichozinduliwa na Waziri wa Madini, Anthony Mavunde._*
Soma zaidi👇🏼
https://www.instagram.com/p/DKuwWiaNlFh/?igsh=cm9jaTMzMXNxMnZ1

👍
🔥
2