tbc_online

tbc_online

594.1K subscribers

Verified Channel
tbc_online
tbc_online
June 11, 2025 at 04:58 AM
*Wakati mkutano wa 19 wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ukiendelea Jijini Dodoma, pamoja na mambo mengine leo Juni 11, 2025 Bunge linatarajiwa kupitisha azimio la Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Kanuni za Bunge kuhusu marekebisho ya kanuni za Bunge.* > *Aidha, wabunge watauliza maswali kwa Serikali na kupatiwa majawabu ambapo Serikali itajibu ni upi mkakati wa kuandaa timu ya Taifa madhubuti itakayowakilisha Taifa katika mashindano ya AFCON 2027, Tanzania ikiwa mwenyeji.* *Usikose kufuatilia mbashara kupitia TBC1, TBC Taifa na mitandao ya kijamii kwa anwani ya TBConline kuanzia saa 3:00 asubuhi.* 📸✍🏾 @clementsilla 👇🏽👇🏽👇🏽 https://www.instagram.com/p/DKv3RtLtqoJ/?utm_source=ig_web_copy_link&igsh=MzRlODBiNWFlZA==
Image from tbc_online: *Wakati mkutano wa 19 wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ukie...
❤️ 👍 ✍️ 🔔 🙏 8

Comments