tbc_online

tbc_online

594.1K subscribers

Verified Channel
tbc_online
tbc_online
June 11, 2025 at 09:42 AM
*Katika kusimamia mavazi rasmi ya wabunge, Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Kanuni za Bunge imebaini kuwa baadhi ya wanaoingia maeneo ya Bunge huvaa sare zinazoashiria au kuzoeleka kuvaliwa na wafuasi au mashabiki wa vyama vya siasa kwa alama, nembo, maandishi ambavyo hutafsiriwa kwa jina, alama, msemo au nembo ya chama.* > *Kamati hiyo imependekeza kuweka kanuni inayokataza mavazi hayo ili kudumisha dhana ya Bunge kuendesha shughuli zake kwa uhuru na umoja bila kujali itikadi za kisiasa.* > *Aidha, kanuni kuhusu mavazi imeboreshwa ili kuweka usimamizi madhubuti wa mavazi bungeni.* 📸✍🏾 @clementsilla 👇🏽👇🏽👇🏽 https://www.instagram.com/p/DKwX3Q1txGa/?utm_source=ig_web_copy_link&igsh=MzRlODBiNWFlZA==
Image from tbc_online: *Katika kusimamia mavazi rasmi ya wabunge, Kamati ya Kudumu ya Bunge y...
👍 ⚖️ 🍆 🙏 🤲 6

Comments