tbc_online

tbc_online

594.1K subscribers

Verified Channel
tbc_online
tbc_online
June 11, 2025 at 12:12 PM
_*📍Ofisi Mpya za Wizara ya Habari_* *Shirika la Utangazaji Tanzania (TBC) linakuletea matangazo mbashara ya mkutano maalumu wa Msemaji Mkuu wa Serikali, Gerson Msigwa na waandishi wa habari kutoka jengo jipya la Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo lililopo Mji wa Serikali Mtumba Jijini Dodoma leo June 11, 2025.* > *_Endelea kufuatilia matangazo mbashara kupitia TBC1, Redio ya TBC Taifa na mitandao ya kijamii kwa anwani ya TBCOnline, kufahamu yote kutoka katika mkutano huo.*_ Soma zaidi👇🏼 https://www.instagram.com/p/DKwmbpptB5o/?igsh=MWk1a2YzOTFpdTJldQ==
❤️ 1

Comments