
tbc_online
June 12, 2025 at 12:56 PM
*Waziri wa Fedha, Dkt. Mwigulu Nchemba akionyesha mkoba wenye bajeti kuu ya Serikali kwa mwaka wa fedha 2025/2026 mara baada ya kuwasili katika viwanja vya Bunge Jijini Dodoma leo Juni 12, 2025.*
*Tupo mbashara kupitia TBC1, TBC Taifa na mtandao wa YouTube kwa anwani ya TBC online.*
👨🏾💻✍🏾 @clementsilla
👇🏾👇🏾👇🏾
https://www.instagram.com/p/DKzS0TaNkCF/?igsh=NHBjNHpyOGM4MDJp

🙏
😂
😆
❤️
👍
💪
😮
15