
tbc_online
June 12, 2025 at 02:22 PM
📍_*Ikulu ya Chamwino_*
*Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan, akifuatilia uwasilishaji wa Bajeti Kuu ya Serikali leo, Juni 12, 2025, akiwa katika makazi yake, Ikulu ya Chamwino, mkoani Dodoma.*
> *_Ikumbukwe kuwa bajeti inayowasilishwa leo kwa ajili ya kujadiliwa bungeni ndiyo bajeti ya mwisho ya Serikali katika kipindi cha miaka mitano. Mnamo Juni 27, 2025, Rais Samia atalivunja Bunge la 12 la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kama hatua mojawapo muhimu ya kuelekea katika Uchaguzi Mkuu unaotarajiwa kufanyika Oktoba mwaka huu.*_
Tazama hapa👇🏼
https://www.instagram.com/p/DKzb4MFNtxO/?igsh=OG9xcHg2czNsd3U3

👍
❤️
💚
😂
🙏
9