tbc_online

tbc_online

594.1K subscribers

Verified Channel
tbc_online
tbc_online
June 12, 2025 at 04:43 PM
📍_*Ikulu, Chamwino_* *Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan, ameonesha kuridhishwa na namna Bajeti Kuu ya Serikali kwa mwaka wa fedha 2025/2026 ilivyowasilishwa leo, Juni 12, 2025.* > *_Akiwa katika makazi yake ya Ikulu ya Chamwino, mkoani Dodoma, alikokuwa anafuatilia moja kwa moja uwasilishwaji wa bajeti hiyo kupitia chaneli ya TBC1, Rais na wasaidizi wake wameonekana kuwa na furaha, ishara kwamba wamepokea vema bajeti hiyo ambayo inatarajiwa kuendelea kuimarisha uchumi wa Taifa, kuboresha huduma za kijamii na kuchochea maendeleo jumuishi, sehemu kubwa ikitegemea mapato ya ndani.*_ Tazama hapa👇🏼 https://www.instagram.com/p/DKzqgAdN-Uj/?igsh=c2N0anM3MGR2ZWg0
Image from tbc_online: 📍_*Ikulu, Chamwino_*   *Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt....
😂 ❤️ 👍 🙏 💘 💙 😢 😮 14

Comments