
tbc_online
June 13, 2025 at 08:07 AM
*Waziri Mkuu wa India, Narendra Modi ametembelea eneo la magharibi la nchi hiyo ambapo ndege ya Shirika la Ndege la India aina ya Boeing 787 iliyokuwa na watu 242 ilianguka muda mfupi baada ya kuanza safari kutoka Uwanja wa Ndege wa Ahmedabad*
Tazama👇🏾👇🏾
https://www.instagram.com/reel/DK1WDFbxYhm/?igsh=amk0ZWVraDBjdHJm
😢
3