tbc_online
June 13, 2025 at 09:16 AM
*Tanzania na Rwanda zimetiliana saini Hati ya Makubaliano (MoU) ya uimarishaji mpaka wa kimataifa baina ya nchi hizo, baada ya kukamilika kwa kikao cha Kamati ya Pamoja cha Wataalamu (JTC) kati ya nchi hizo mbili kilichofanyika Ngara Mkoa wa Kagera.*
👇🏾👇🏾👇🏾
https://www.instagram.com/p/DK1eeqTRx4S/?igsh=ajhrb3AyMnB2OXE3
🇹🇿
👍
👏
😮
10