tbc_online
June 13, 2025 at 10:40 AM
*Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo imeiruhusu Klabu ya Simba kuutumia Uwanja wa Benjamin Мkара uliopo Dar es Salaam, kufanya mazoezi ya mwisho Jumamosi Juni 14, 2025, kuelekea mchezo namba 184 wa Ligi Kuu ya NBC utakaopigwa Jumapili Juni 15, 2025 kati ya Klabu ya Simba na Yanga*
👇🏾👇🏾👇🏾👇🏾
https://www.instagram.com/p/DK1mAmmPELv/?igsh=cnh6NHBzYmphcTk2
😂
😮
❤️
👍
🙏
🇹🇿
💡
🕊️
😎
😢
27