tbc_online

tbc_online

594.1K subscribers

Verified Channel
tbc_online
tbc_online
June 14, 2025 at 05:55 AM
*Gwiji wa muziki wa Bongo Fleva nchini @jidejaydee ameandika historia ya miaka 25 katika tasnia ya muziki #jidesilver* *Katika hafla yake ya Silver concert iliyofanyika @thesuperdometz, Jaydee amewaambia mashabiki wake kuwa anaendelea na mapambano na kila kitu kinawezekana endapo una nia ya kweli* Tazama👇🏾👇🏾 https://www.instagram.com/reel/DK3rIEnRjm4/?igsh=MTl2eWNoNnZyaHk1bQ==
❤️ 👍 4

Comments