Swahili Times

Swahili Times

780.0K subscribers

Verified Channel
Swahili Times
Swahili Times
June 11, 2025 at 06:50 AM
Mwaka 2010, Afrika Kusini iliandaa kwa mara ya kwanza Kombe la Dunia la 19 la mpira wa miguu, katika jiji la Johannesburg. Hii ilikuwa ni historia kwa bara la Afrika kuandaa mashindano hayo makubwa ya kimataifa, ambapo timu ya taifa ya Hispania iliibuka mshindi wa kombe hilo.
Image from Swahili Times: Mwaka 2010, Afrika Kusini iliandaa kwa mara ya kwanza Kombe la Dunia l...
❤️ 👍 🙏 😮 25

Comments