
Swahili Times
June 11, 2025 at 07:21 AM
Serikali ya Syria imeweka kanuni mpya ya mavazi kwa wanawake katika fukwe za umma, ikiwataka kuvaa mavazi aina ya burkini au mavazi ya kuogelea mapana yanayofunika sehemu kubwa ya mwili.
Nje ya maeneo ya fukwe, wanaume wamekatazwa kuwa vifua wazi wakiwa hadharani.
Wizara ya Utalii ya Syria imesema kanuni hizo zinalenga kulinda maslahi ya umma na kudumisha maadili.

❤️
👍
😂
🙏
😢
85