
Swahili Times
June 11, 2025 at 09:03 AM
Kamati ya Kanuni za Bunge imependekeza kuwekwa masharti yanayozuia wabunge, watumishi wa bunge na wageni kuvaa mavazi yenye mwelekeo wa ushabiki wa chama fulani, yenye alama, nembo, maandishi, jina au misemo ya vyama.
Taarifa ya kamati imesema mapendekezo hayo yanakusudia kudumisha dhana ya bunge kuwa huru na lenye umoja bila kujali itikadi za kisiasa

😂
👍
❤️
🙏
29