Swahili Times

Swahili Times

785.4K subscribers

Verified Channel
Swahili Times
Swahili Times
June 11, 2025 at 06:44 PM
Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Balozi Mahmoud Kombo (Mb.), ameongoza ujumbe wa Tanzania katika Mkutano wa Waratibu wa Utekelezaji wa Maazimio ya Jukwaa la Ushirikiano baina ya China na Afrika (FOCAC), unaofanyika Juni 11 hadi 12, 2025 jijini Changsha, China.
Image from Swahili Times: Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Balozi Mahm...
❤️ 👍 🙏 5

Comments