
Swahili Times
June 12, 2025 at 06:17 AM
Mwaka 1964, Nelson Mandela na washirika wake walihukumiwa kifungo cha maisha jela kwa kupinga utawala wa ubaguzi wa rangi nchini Afrika Kusini.
Mandela alitumikia kifungo cha miaka 27 gerezani na kuachiwa huru mwaka 1990 kutokana na shinikizo la kimataifa na mabadiliko ya kisiasa nchini humo.

👍
😢
🙏
❤️
😂
😮
29