Swahili Times

Swahili Times

785.4K subscribers

Verified Channel
Swahili Times
Swahili Times
June 12, 2025 at 07:27 AM
Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, imemhukumu kulipa faini ya shilingi milioni 1 au kwenda jela miaka miwili Afisa Habari na Mawasiliano wa Klabu ya KenGold, Joseph Mkoko (34) baada ya kupatikana na hatia ya kuomba na kupokea rushwa. Hakimu Mkazi Mkuu, Beda Nyaki ametoa hukumu hiyo Juni 11, 2025 baada ya mshtakiwa huyo kukiri mashtaka hayo ya rushwa yaliyofanyika kati ya Desemba 01, 2024 hadi Desemba 31, 2024 Kibaha, mkoani Pwani.
Image from Swahili Times: Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, imemhukumu kulipa faini ya shilingi m...
😮 😂 👍 ❤️ 😢 11

Comments