
Swahili Times
June 12, 2025 at 07:38 AM
Chama tawala cha muda mrefu nchini Burundi, CNDD-FDD, kimeshinda viti vyote vya ubunge katika uchaguzi uliofanyika wiki iliyopita, kikipata kura asilimia 96.51.
Wanachama wa chama kikuu cha upinzani, National Congress for Liberty (CNL), ambacho kilizuiwa kushiriki uchaguzi huo, wamekosoa uchaguzi huo kwa madai ya uwepo wa udanganyifu kwenye upigaji kura na ukiukwaji wa haki.

😂
👍
😢
🙏
41