
Swahili Times
June 12, 2025 at 11:54 AM
Serikali imesema katika kipindi cha Julai 2024 hadi Machi 2025, mapato ya ndani yalifikia shilingi trilioni 25.67, sawa na asilimia 100.2 ya lengo na ukuaji wa asilimia 16.5, ikilinganishwa na kipindi kama hicho mwaka 2023/24.
Aidha, mapato yatokanayo na kodi ambayo yalichangia asilimia 82.7 ya makusanyo ya ndani yalifikia shilingi trilioni 21.2.

👍
😂
🙏
❤️
😢
12