Swahili Times

Swahili Times

785.4K subscribers

Verified Channel
Swahili Times
Swahili Times
June 12, 2025 at 01:58 PM
Tanzania itakuwa mwenyeji wa Tuzo za Dunia za Utalii (World Travel Awards – WTA) kwa Afrika na Kanda ya Bahari ya Hindi kwa mara ya kwanza Juni 28, mwaka huu ambapo wageni zaidi ya 500 kutoka kote duniani wanatarajiwa kuhudhuria.
Image from Swahili Times: Tanzania itakuwa mwenyeji wa Tuzo za Dunia za Utalii (World Travel Awa...
👍 ❤️ 😂 🙏 19

Comments