Swahili Times

Swahili Times

785.4K subscribers

Verified Channel
Swahili Times
Swahili Times
June 12, 2025 at 02:24 PM
"Nipende kuwafahamisha Watanzania kuwa Uchaguzi Mkuu wa mwaka 2025, tutaugharamia kwa fedha zetu wenyewe na zoezi hilo limekamilika." - Dkt. Mwigulu Nchemba, Waziri wa Fedha akisoma Bajeti Kuu bungeni
Image from Swahili Times: "Nipende kuwafahamisha Watanzania kuwa Uchaguzi Mkuu wa mwaka 2025, tu...
😂 👍 ❤️ 🙏 😢 😮 26

Comments