
Swahili Times
June 12, 2025 at 03:09 PM
Rais Samia Suluhu Hassan akifuatilia kwa njia ya runinga Bajeti Kuu ya Serikali ya mwaka 2025/2026, inayosomwa Bungeni na Waziri wa Fedha, Dkt. Mwigulu Nchemba. Rais Samia anafuatilia Bajeti hiyo Ikulu Chamwino, mkoani Dodoma.

😂
👍
❤️
😢
😮
26