
Swahili Times
June 12, 2025 at 03:57 PM
Serikali imeongeza kiwango cha kodi kinachotozwa kwa washindi wa michezo ya kubashiri matokeo ya michezo (betting), kama sehemu ya mkakati wa kuongeza mapato na kuchangia huduma za kijamii.
Akiwasilisha Bajeti Kuu bungeni, Waziri wa Fedha, Dkt. Mwigulu Nchemba amesema asilimia 70 ya mapato yatakayokusanywa yataelekezwa Mfuko wa Kupambana na UKIMWI, huku asilimia 30 zikielekezwa Mfuko wa Bima ya Afya kwa wote.

👍
😂
❤️
😮
😢
🙏
29