
Swahili Times
June 13, 2025 at 06:50 AM
"Bodi ya Ligi Kuu Tanzania tunaendelea na maandalizi [ya mchezo wa Dabi ya Kariakoo], na ni matumaini yetu kuwa wadau wengine, zikiwemo hizo timu mbili za Yanga na Simba, wanaendelea na maandalizi kuelekea huo mchezo. Ni mchezo mkubwa, mchezo ambao ni kioo cha ligi yetu." - Karim Boimanda, Afisa Habari wa Bodi ya Ligi Kuu

😂
❤️
👍
🙏
😢
😮
92